Allydasmartboy001
JF-Expert Member
- Jul 14, 2018
- 599
- 206
Habari za muda huu ndugu zangu,
Shida yangu ni moja tu nimesafiri nipo eneo ambalo internet ya halotel ipo chini sana yaan ina ishia 2G au ikigusa 3G mara moja moja sanaa ila mtandao ambao upo vizur n mmoja tu ambao ni voda ambao unafika 4G je nauliza hakuna ujuzi wowote nao weza kufanya lini yangu hii ya halotel ishare mtandao na voda yaan nao upande 4G au hata 3G tu ili nifanye kazi zangu?