Msaada wa kupata kioo cha Samsung galaxy S7 edge

Wisdom Flag

Member
Oct 16, 2018
28
18
Wakuu habari zenu,ni matumaini yangu mnaendelea vizuru Mungu atupe uzime hili janga lipite
Nina simu yangu ya Samsung Galaxy S7 edge imepasuka kioo Kam kun mtu yeyote anayeweza nisaidia kupata kioo Cha mkononi maana dukani kina Bei

NAOMBENI MSAADA WENU WADAU NA MAFUNDI simu
 
Cha kufanya ingia eBay.com, weka anwani ya sanduku lako la posta, tafuta kioo vinauzwa kwa takribani 120,000, lipa kwa M-PESA master card, baada ya wiki 2 kitafika posta.
 
Haya mtoa mada kazi kwako.
Screenshot_20200325-213301.jpeg
Screenshot_20200325-213220.jpeg
Screenshot_20200325-213247.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom