Msaada wa kupata kazi

kijana13

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
1,981
3,611
Habarini wakuu..Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa Neema zake.Nimekuwa katika mchakato wa kutafuta kazi wakuu, na nimekutana na changamoto kadhaa ningependa tushare kwanza suala la kujuana limenikuta majuzi kwenye reputable international bank.pili kuna makampuni majuzi nimeeenda nimeambiwa nimeoverqualify.

Elimu nina master ya Economics na uzoefu wa kazi miaka 2 kwenye Microfinance na business analysis.
Msaada wenu wakuu.kampuni au taasisi gani naweza kwenda nika submit CV au kukutana na wausika ambayo wanaweza niconsider.
 
jamani ajira acha kabisa, mi nasugua lami tangu nigraduate 2011 kadegree changu ila wapi, hadi nimekata tamaa maana nishabadilisha soli ya kiatu mara 17, du! hii ni hatariiiii
 
it pains when even an econimicist like u suffers like that! in the other side, it also pains when it comes at the point of being told that u are overqualified. unaweza anza jiuliza "why did i go for further studies"? anyway,ni mfumo mbovu uliopo......kwa jinsi uchumi wetu unavyosusua,watu wa fani kama yako are supposed to be utilized properly. pooolee sana mkuu and keep on fighting na mungu atakusaidia...keep praying.
 
Thanks mkuu.Sure mfumo mbovu kabisa.I believe in God.wadau tuendelee kuomba na kufunga.God atafungua njia...
 
Back
Top Bottom