Msaada wa kupata kazi

liu sheng

Member
Dec 24, 2021
6
3
Habari,

Wana JamiiForums naomba msaada wa kusaidiwa kupata nafasi ya kiajira mana hali imezidi kuwa ngumu na nina wazee na familia yangu wote wananitegemea na sina hata pa chakula kwa ajili ya familia yangu
 
Unataaluma gani?
 
Mungu atakujalia atakusimamia upate kibarua
 
Alafu atatokea kiongozi mmoja atamwambia huyu kijana "nenda kajiajiri, Serikalini hakuna ajira"

MOLA anawaona viongozi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom