Msaada wa kupata Joining Instruction ya Uyole College of Agriculture

Bikis

Member
Feb 23, 2019
52
74
Wakuu natokea moja ya mikoa ya Kaskazin
Nina mdogo wangu kapangiwa mambo ya Agriculture general kule uyole mwenye contact au namna ya kupata join instruction msaada wako kwani kwenye network sioni chochote namba yangu ni 0756932204
 
Watampigia simu.
 
Angalia hicho kiambatanisho kama kitakusaidia
 
Attachments

  • uyole.pdf
    235.2 KB · Views: 18
Jitahidi mkuu, umuwahishe dogo.. Me kuna rafiki yangu mmoja karipoti kitambo pale kupiga Diploma
 
Back
Top Bottom