Msaada wa kupata join instructions chuo cha ualimu Shinyanga

Jamani anayejua mkomaindo helthy institute cha afya jins ya kupata joining anisaidie tafdhali
 
Wadau kwa wale waliochaguliwa kujiunga na vyuo vya ualimu siku kadhaa zilizopita kama kuna mtu ameshadownload au anaejua jinsi ya kupata join instructions ya chuo anisaidie.

Kwa maelezo kutoka chuoni wapeniambia niingie kwenye website ya chuo au Nacte lkn nimeshondwa kabisa.
Please mwenye uelewa anisaidie
Ukiona ivyo ujue hazijatoka
 
Joining instructions za vyuo vya afya ngazi ya cheti na diploma vya serikari zimetoka angalieni email zenu kama bado basi sio muda utatumiwa
 
Kwa atakaye pata hizo join instruction tujulishane bc coz tumesubiri tumechoka na hatujui cku wala saa ya kutipoti vyuoni
 
Back
Top Bottom