Msaada wa kupata gynaecologist

The Assassin

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
4,355
17,321
Habari wadau.

Naomba kufahamu hospitalini ambayo ina wataalam wa magonjwa ya kina mama ama gynaecologist mzuri kwa hapa Dar es Salaam.

Mpenzi wangu ana tatizo la maumivu wakati wa ngono, hii inatupatia shida kidogo maana tunakua hatufurahii ngono vile inavyotakiwa.

Naomba msaada wa kujua wanapatikana wapi ama specialized clinics ambazo tunaweza kupata huduma.

Natanguliza shukrani.
 
Kama upo Dar au unaweza kufika Dar, kamwone Dr. Shadiq anapatikana Agakhan Hospital
 
Mkuu maumivi wakati wa tendo la ndoa nayo unataka huenda kwa Gynaecologist au ushajua chanzo chake?
Are you sure sio Psychological?

Uke mkavu au?
Tumbo linauma na anatoa uchafu ukeni!

Nakushauri uonane na General Practitioner ambae atakupa Proper channeling ya specialist gani umuone!
 
Mkuu sasa tunafanyaje kama mtu anahisi maumivu makali?

Inaweza kua psychological, tumbo haliumi, hakuna harufu.

Penetration kwake ni maumivu makali sana mkuu.

Hua anajitahidi kua calm lakini bado penetration inampa shida sana na hii imeshamtengenezea uoga inafikia hata ile kichwa kinapogusa labia zake anakua mejaa hofu na anaanza kuhisi maumivu.

Actually hatujajua tatizo lake maana hajawahi kufanya any medical examination, nikaona labda tumuone gynaecologist.
 
muone gyno mbulumi(kairuki na hosp ya udsm)
Kash rabinsia
mwagaza kibaha, temeke na tmj
hosp ya lugalo (nzuri pia)
ila kwa tatizo la. mwenza wako aende hosp yeye mwenyewe awe free kumweleza dr. ,, huenda ww ndio tatizo kubwa kwake hivyo hisia zake tu akishakuwa kwenye tendo anachowaza maumivu
 
Kama upo Dar au unaweza kufika Dar, kamwone Dr. Shadiq anapatikana Agakhan Hospital
Alishatoka huko yupo anapatikana Msasani peninsula hospital full time ni professor yule yupo vizur na ni mchangamfu sana, pale msasani kituo cha Coca cola ukipanda gari za masaki ashukie hapo!!
 
Anaita wagonjwa wake kwa majina...
 
Back
Top Bottom