Msaada wa kupata FIFA PC game or Pes 2012, 2013 au 2014

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
Habarini wadau nilikuwa naomba mwenye hayo ma game hapo juu Anisaidie nipo Dodoma Mjini Asanteni sana
 
karibu sana mkuu.. binafsi nipo dodoma na nina fifa 14 ila sio mpenzi sana wa mpira kiujumla ila kama una shida nayo tutapanga siku tukutane.. ila kwa haraka zaidi kama unataka unaweza download hapa https://kickass.to/usearch/fifa category:games/ na kwa pes hapa https://kickass.to/usearch/pes 2013/... napendekeza utumie bundle ya usiku ya tigo ya gb30 kwa siku tatu utadownload fasta sana au kama una tg pia unaweza convert hizo torrents tu ukateremsha...
sharing is caring karibu mkuu.
 
Mkuu mimi nahitaji kwa simu s4
 
Back
Top Bottom