Msaada wa kupata enteship, tempo, ajira

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
239
160
Mimi naitwa Salum Ally nipo Dar nina miaka 27 nimeoa na nina mtoto mmoja nimeitimu stashahada ya manunuzi na ugavi (procurement and logistics management ) kutoka Tanzania institute of accountancy 2012.

Baada ya kuitimu nikakawa najitolea kwenye taasisi za umma kutoka 5/2012-10/2015 kama temeke na daily news lengo likiwa kupata uzoefu ili niwe tayar kuingia kwenye soko la ajira pamoja na kuajiliwa katika taasisi hizo.

Ila hali imekua tofauti ajira kwa taasisi hizo hawana mamlaka ya kuajili hivyo nikaamua kuacha mwaka jana maana uzoefu wa kutosha nilisha pata ambao ni zaid ya miaka mitatu

Naomba kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia kupata ajira ya kudumu ya muda mfup au hata internship nk anisaidie nina uzoefu wa zaid ya miaka mitatu na nina uelewa mkubwa katika;-
-Storekeeping
-Inventory controller
-Logistics assistant
-Procurement assistant
Au kazi yeyote ambayo ya ofsini na inaelezeka naweza kufanya

Nimewahi kuomba ajira za utumishi na kuitwa kwenye usaili hatua zote yaani kuandika na mahojiano kwa zaid ya mara mbili ila huwa sijuh kinafuata nini.

Najua kutumia computer program zote za muhimu katika kazi yangu.

Kwa mawasiliano zaid kwa yeyote mwenye msaada 0716671919/0686541414.

Nipo tayari kufanya kazi popote Tanzania.
 
Niliacha kwa kuwa nilishindwa kuendelea kujiudumia kumbuka nilikua najitolea
 
Tafadhali jaribu kufanya editing ya andiko lako. Bila shaka una maanisha Internship na Temporary job
 
Kuoa hakuna mahusiano na kupata kazi samahani lakin maana dini inasema ukibarehe oa au olewa hawajasena ukipata kazi ndio uoe na sijasema unisaidie kazi couz nimeoa no nataka kuitumia taalum yangu tang'ana
 
Back
Top Bottom