Msaada wa kupata control number kwenye kujisajili loans board (helsb) 2021/22

SASA HIVI MFUMO UPO VIZURI...JAMANI MSAADA NAMNA YA KUPATA KITAMBULISHO CHA NIDA ONLINE COPY
 
SASA HIVI MFUMO UPO VIZURI...JAMANI MSAADA NAMNA YA KUPATA KITAMBULISHO CHA NIDA ONLINE COPY
mimi imeniletea control namba sasaivi na nimesha lipia ila tatizo kwenye system bado haitaki kutambua kama nimelipia, nafanyaje mkuu.
 
Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
Mkuu inabidi applicant awe na number ya kitambulisho cha NIDA sio? Maana kuna mtu ameshaapply NIDA na wiki ijayo number ya NIDA ndio inatoka na wala sio kitambulisho.
Swali. je number na kitambulisho cha NIDA ni muhim kabla ya Ku apply?
 
MI NAONA HAPA WANATAKA NAMBA YA NIDA NA KOPI YAKE YA PDF. ZAMANI KOPI YA PDF NIDA ILIKUWA UNAWEZA PATA ONLINE SASA HIVI NAONA SIJUI MFUMO WAMEBADILISHA... TUOMBE MWONGOZO MAANA KUPATA KITAMBULISHO NI ISHU SANA ILA NAMBA NI RAHIS TU
 
Hv wadau kama hukujiandikisha hizo namba za nida Hapo kwenye kujaza inakuaje?
 
Wakuu nawezafanya application loan board kwa kutumia simu ya kiganjani
 
Nilijaza namba ya tigo wakati najisajili, nimepata control namba tayari.
Nalipia kwa Airtel money pesa haiendi, shida Ni Nini wadau?
Au lazima nilipie kwa namba niliyoijaza kwenye system?

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom