Msaada wa kupata consultant wa kuomba Viza za Europe

Ajmeel

Member
Mar 4, 2016
28
9
Ndugu Wanajamvi
Naomba Msaada wa kufahamu Consultant ambaye anamsaidia client kuomba viza ya kwenda europe on his behalf,
Ambaye atashughulikia mpk client ambate viza,

Shukran sana.
 
Namuulizia ndugu yangu tu,pia sio mfanyakazi wa uma kwahiyo hatohitaji kibali.
 
Ndugu Wanajamvi
Naomba Msaada wa kufahamu Consultant ambaye anamsaidia client kuomba viza ya kwenda europe on his behalf,
Ambaye atashughulikia mpk client ambate viza,

Shukran sana.
Ukimpata namimi unitag mkuu.
 
Sure,tunasuburia.
Mwanangu kapata mwaliko US,kazi akiyopewa ni kujitafutia visa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom