kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,655
- 1,766
Wakuu habarini za asubuhi...!!!
Nina shida ya kupata chuo cha afya au ualimu kwa ngazi ya cheti. Matokeo ni div four point 27, nina F ya Physics, D ya Chemistry na C ya Biology. Nilitaka kupitia NACTE ila muda wa maombi umekwisha kwa maana wamefunga. Kwa hiyo naombeni msaada wa muongozo wowote.
Asanteni sana...!!!