Msaada wa kupata chuo cha kusoma bila kupitia NACTE

kilama

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
2,654
1,765
Wakuu habarini za asubuhi...!!!

Nina shida ya kupata chuo cha afya au ualimu kwa ngazi ya cheti. Matokeo ni div four point 27, nina F ya Physics, D ya Chemistry na C ya Biology. Nilitaka kupitia NACTE ila muda wa maombi umekwisha kwa maana wamefunga. Kwa hiyo naombeni msaada wa muongozo wowote.

Asanteni sana...!!!
 
F ya physics imekuharibia.
 
Hayo mengine vipi mbona hujaelezea!
 
Mkuu huwezi pata chuo chochote ambacho kiko chini ya NACTE cha afya kama una F kati ya masomo hayo matatu yaan Biology, physics or chemistry
 
F ya physics manake huendi popote. Kwa lugha rahisi hata NACTE wakiruhusu tena usajili huwezi kupata.
 
Njoo vyuo vya maendeleo ya wananchi usome masomo ya ufundi kama Electrical, ujenzi, uselemala pamoja na Engineer ing science ,Engineering mathematics na etc
 
Back
Top Bottom