msaada wa kupata chuo afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kupata chuo afya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Michael Bosco, Oct 24, 2012.

 1. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #1
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  wanajamii naomba mnisaidie kupata chuo(private) ambacho bado kinapokea maombi maana huku kwingine wamezingua
   
 2. B

  BGG Senior Member

  #2
  Nov 4, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Piga simu 0762 893 609 ulizia nafasi mwisho wakuripoti ijumaa tarehe 16. changamka
   
 3. D

  Devowa Member

  #3
  Nov 4, 2012
  Joined: Oct 20, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Fuatilia Eckernfode college of health and allied science ya Tanga bado wanapokea application.
   
 4. N

  Nakwetu Member

  #4
  Nov 5, 2012
  Joined: Apr 27, 2009
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Piga simu 0762 828201 chuo kiko Arusha, changamka masomo yaanza leo 5/11/2012
   
 5. peace2007

  peace2007 JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 214
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Pamoja na ushauri mzuri wa waliotangulia, hujasema unataka kusoma kozi gani na level ipi....cha msingi hakikisha chuo utakachoenda kiwe kimesajiliwa na mamlaka husika kulingana na level ya kozi unayotaka/wanazotoa...vinginevyo kuna uwezekano wa kupata cheti ambacho hakitamuliwi.....ni ushauri ya bure tu....
   
 6. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #6
  Nov 6, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Chuo kipo wap?
   
Loading...