msaada wa kupata best tutorial za computer online?

Simple on looking

Senior Member
May 27, 2014
100
34
Habari wakuu?. natamani sana kujifunza computer lakini kutokana na kukosa mda naomba muongozo wa vitu vya kujifunza as a beginer. Pia naomba msaada wa anayejua website ambayo naweza nikapa best tutorial ya hizo courses mbalimbali za computer.

Natanguliza shukran.......
 
ok namaanisha ile silsila nzima ya kuweza kuvisoma vitu vya msingi kwanza kama vile programming, typing, n.k nahis utakua umenielewa mkuu.naomba msaada wako wa mawazo
introduction t computer,ms word,ms excel,ms publisher,ms acces then internet.ukitak unamaliza na mentaenance
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom