msaada wa kuondoa makovu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kuondoa makovu

Discussion in 'JF Doctor' started by Njunwa Wamavoko, Sep 4, 2012.

 1. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #1
  Sep 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  kwa anayejua njia ya kuondoa makovu eitha kwa njia ya asili au kwa kutumia dawa au mafuta/lotion atupie hapa makovu ya chunusi pamoja na vipele!
   
 2. a

  amigooo Senior Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hello Njunwa! Tatizo lako siyo kubwa na linakuwepo kwa baadhi ya walio wengi ila ni kwa kukosa tu uelewa ndo maana wanakuwa na hali kama hiyo au pia kutokuona umuhimu sana wa kutunza ngozi. Kunazo products(bidhaa) zisizo na kemikali ambazo zimeandaliwa kwa ufanisi mkubwa na kuweza kuthibitishwa na viwango vyote muhimu kwa ajili ya matumizi ya ngozi. Zipo creams,lotions na sabuni ambazo hutumika kwa ajili ya kuisafisha na kuitunza ngozi na kuiacha ikiwa nyororo na yenye kupendeza. Tuwasiliane kwa email healthwealthfirst@gmail.com pia namba 0713889162
   
 3. Majimoto

  Majimoto Senior Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 138
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Epuka kunywa vinywaji baridi. Kunywa maji bilauri moja kubwa ya vuguvugu asubuhi unapoamka, kisha endelea kupata bilauri moja ya maji kila baada ya masaa mawili hadi saa 4 usiku.

  Chukua asali kijiko kimoja kikubwa changanya na tangawizi kijiko kimoja pakaa usoni kwa kusugua wacha ikae usoni kwa muda wa nusu saa kisha osha uso kwa maji safi, itanyonya bakiteria wanaosababisha uso uwe na chunusi.
   
Loading...