ahmed omar
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 266
- 212
Dining atleast 2.5 m sio mbayaHiyo ni nyumba yako binafsi unataka kujenga mkuu? Nimeicheck chap chap naona ina changamoto za kimpangilio. Kwa mfano kuna corridors nyingi sana na nyembamba mno. Zitakuwa giza na ngumu kutumia (corridor za 90cm ni minimum kabisa). Vyumba vya kulala vidogo Kama bado hujaanza kujenga nakushauri urekebishe design. Pia angalia vyoo vilivyowekwa. Vyembamba na virefu bila, utatumia tiles nyingi kuliko unavyohitaji. Nahisi wazo la choo na bafu ni kuwa na washbasin kwa nje kwenye hizo vestibule za bafuni...hayo ni mambo ya zamani na hiyo basin itakuwa gizani (taa itakuwa inawashwa 24/7 na hewa itakuwa nzito). Ningeshauri uweke washbasins ndani ya vyumba husika. Dining Room ya 2.2m ni changamoto kuweka meza na viti pande zote mbili, watu wakae na kuvuta viti na wapishane (mtu kuweza kupita nyuma ya aliyekaa).