Msaada wa kujulishwa mahala pa ku unlock blackberry na iphone mjini Dar es salaam?

Nyikanavome

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
482
176
Nina rafiki yangu ambaye alienda Marekani majuzi nikabahatika kumwagiza aniletee blackberry bold, bahati nzuri akaniletea lakini iko locked. Na huyo rafiki yangu na yeye kaja na Iphone yake lakini nayo iko locked. Naombeni msaada wenu kama kuna mahali hapa mjini dar ambapo ninaweza kupata huduma huduma ya kuunlock hizo simu. Natanguliza shukrani
 
Ebu niambie iko locked kwenye nini ? Sim card au blackberry server. kama imeblokiwa kwenye sim card naweza kukufanyia hiyo kazi.. Kuhusu Iphone usiangaike unaweza kui-Jeal break mwenye
 
Iko locked iweze kufanya kazi marekani kwenye kampuni ya simu ya huko marekani
 
Pole sana. Ndiyo shida ya kununua vitu vya electronic ukiwa wamarekani. Ukitoka inakuwa kazi kuweza kuvitumia.
 
Nenda kwa Fundi Sele yupo mjini mtaa wa Samora karibia na ilipo Sapna...ukimuuliza tu pale unampata!!
 
Nenda kwa Fundi Sele yupo mjini mtaa wa Samora karibia na ilipo Sapna...ukimuuliza tu pale unampata!!

We mkali! linaelekea Geography ya jiji imetulia kwenye Medulla Oblongata lol! leo EURO kwa EURO unamshangalia nani? Nahisi utaegemea zaidi kwa mama
 
We mkali! linaelekea Geography ya jiji imetulia kwenye Medulla Oblongata lol! leo EURO kwa EURO unamshangalia nani? Nahisi utaegemea zaidi kwa mama

Nimewahi kwenda kwa huyo jamaa ku-unlock simu halafu unaisubiria hapohapo na 20,000/-yake mkononi(labda kama imepanda bei au kushuka)..umewahi fika mitaa hiyo?!
Leo nilikuwa na mshindi,basically ni Germany!..nawaonea huruma watoto wa mama!..yani wamepewa kichapo kweli!!
 
Nina rafiki yangu ambaye alienda Marekani majuzi nikabahatika kumwagiza aniletee blackberry bold, bahati nzuri akaniletea lakini iko locked. Na huyo rafiki yangu na yeye kaja na Iphone yake lakini nayo iko locked. Naombeni msaada wenu kama kuna mahali hapa mjini dar ambapo ninaweza kupata huduma huduma ya kuunlock hizo simu. Natanguliza shukrani

Je, unataka kufungua Blackberry ujasiri wako? Kwanza unaweza kutembelea tovuti hii UnBBlock.com hapa unaweza kupata kanuni kufungua na kufungua simu yako kwa urahisi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom