Msaada wa kujua namna ya kutrack infinix S5pro

J627204

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
268
99
Habari za muda wana jf mm nimeibiwa simu infinix S5pro nilikuwa nimeiweka mfumo wa track nilifanikiwa kuifuatilia muda ikawa imezimwa ila baada ya siku5nikiitrack siioni ila Imei no ninazo naombeni msaada
 
FB_IMG_16417527654891990.jpg
 
Back
Top Bottom