Msaada wa kujua taratibu kupata vyeti vilivyopotea

AndrewThegent

Member
May 6, 2013
20
6
Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi.

Nikapata kiapo cha mahakama pia loss report. Lakini pia nina original scanned soft copies. Sasa swala langu kuu ni kwamba nnataka kuanza kupata cheti kimoja kimoja. Sijui wapi pa kuanzia. Nakuja kwenu wanajamvi mnisaidie nin na wapi cha kufanya.

Asanteni in advance.
 
Vya secondary nenda NECTA watakupa utaratibu au tembelea kwanza website yao kuna masharti wameainisha ili kupata cheti mbadala. Note: Kama umemaliza chini ya 2008 hawatoi vyeti mbadala.
 
Vya secondary nenda Necta watakupa utaratibu au tembelea kwanza website yao kuna masharti wameainisha ili kupata cheti mbadala. Note: Kama umemaliza chini ya 2008 hawatoi vyeti mbadala.
Nashukuru kaka hii nilikuwa sijajua.
 
Wanajukwaa leo nimekuja na shida. Nilipotelewa na vyeti vyote vya elimu, hati ya kusafiria na cheti cha kuzaliwa. Vilipotea mwaka jana nilifanikiwa kutaarifu polisi. Nikapata kiapo cha mahakama pia loss report. Lakini pia nina original scanned soft copies. Sasa swala langu kuu ni kwamba nnataka kuanza kupata cheti kimoja kimoja. Sijui wapi pa kuanzia. Nakuja kwenu wanajamvi mnisaidie nin na wapi cha kufanya. Asanteni in advance.
Report police, ukisha pewa lost report, nenda katangaze kwenye gazeti la serikali, ukisha maliza nunua gazeti hilo toa copy ya gazeti nenda NECTA, utapewa form utajaza na kulipia laki moja, utambatanisha na nakala ya gazeti,

Kitakuwa tayari baada ya miez 3 utajurishwa kwa simu, kazi imeisha.
 
Report police, ukisha pewa lost report, nenda katangaze kwenye gazeti la serikali, ukisha maliza nunua gazeti hilo toa copy ya gazeti nenda NECTA, utapewa form utajaza na kulipia laki moja, utambatanisha na nakala ya gazeti...
Nashukuru kaka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom