Tafadhali mwenye kujua namna ya kuomba kujiunga na masomo ya diploma au certificate kwenye vyuo vya kilimo anisaidie. Tatizo havina websites na vyenye websites hakuna mode of application.
Msaada tafadhali.
Tafadhali mwenye kujua namna ya kuomba kujiunga na masomo ya diploma au certificate kwenye vyuo vya kilimo anisaidie. Tatizo havina websites na vyenye websites hakuna mode of application.
Msaada tafadhali.
Ili kukujibu swali lako, je, tunapaswa kukupa maelekezo ya kujiunga na vyuo vilivyo chini ya "wizara ya kilimo" tu au vyuo vinavyotoa mafunzo ya KILIMO kwa upana wake ?
Kama jibu lako litakuwa ni vyuo vilivyo chini ya wizara ya kilimo, basi kumbe unamaanisha MATI (Ministry of Agriculture Training Institutes) na maelezo yake yanapatikana au yanapaswa kupatikana kwenye website ya MATI kama walivyotanabaisha wachangiaji kadhaa hapo juu.
Kama ni vyuo vya KILIMO kwa maana ya sekta hii tajwa kwa mapana wake, nadhani tunapaswa kukueleza zaidi ya MATI.
Hapa tutakua na deni la kukueleza kuhusu vyuo vya mifugo (LITA), vyuo vya uvuvi na ufugaji samaki (FETA) na vyuo vingine vya ki"sub sector" mfano HORTI.
Msaada juu ya vyuo vya private
Naomba msaada wa kujua ni vyuo gan vya private vinavyotoa diploma na jinsi ya kufanya application pamoja na orodha yake tafadhali naomba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.