Msaada wa kujibu swali hili kuhusu kabila la wamakonde


Y

yahya mussa

Member
Joined
Jul 27, 2016
Messages
6
Likes
1
Points
5
Age
23
Y

yahya mussa

Member
Joined Jul 27, 2016
6 1 5
Wakuu kuna swali apa kuhusiana na wamakonde linasema "Kupitia kabila la kimakonde, elezea asili ya ulimwengu, binadamu na maisha yake baada ya kufa"

Msaada tafadhali kwa hilo
 
Ramea

Ramea

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Messages
1,364
Likes
1,393
Points
280
Ramea

Ramea

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2015
1,364 1,393 280
Unasomea uchawi?
 
Y

yahya mussa

Member
Joined
Jul 27, 2016
Messages
6
Likes
1
Points
5
Age
23
Y

yahya mussa

Member
Joined Jul 27, 2016
6 1 5
Hapana ilo swali tumepatiwa uku chuo katika philosophy
 

Forum statistics

Threads 1,273,308
Members 490,351
Posts 30,477,653