Msaada wa kujenga 'Biogas Plant'

Ng'wanambula

Senior Member
Oct 2, 2011
197
53
Naomba msaada kwa anayejua kujenga Biogas plant: Nataka kujenga mtambo huo lakini malighafi itakuwa excreta na malighafi hiyo itatoka kwa watu kati ya 400 na 500.

Naomba msaada wa BOQ pamoja na mambo mengine ambayo sikuyataja.
 
unatarajia kutumia mali ghafi kutokana na watu????
vinginevyo nenda google kuna nondo kibao tu unazoweza kusoma na kujijengea na unaweza na kuonezea na youtube.com ukapata video kibao
 
Naomba msaada kwa anayejua kujenga Biogas plant: Nataka kujenga mtambo huo lakini malighafi itakuwa excreta na malighafi hiyo itatoka kwa watu kati ya 400 na 500.

Naomba msaada wa BOQ pamoja na mambo mengine ambayo sikuyataja.
Mkuu tafuta kitabu cha sayansi cha darasa la saba cha zamani(2005+). Kina maelezo na michoro.
Ingia you tube, utapata video za kutosha.
Ingia google napo kuna michoro mizuri sana.
Au agiza biogas plant. Dar kuna kampuni inauza mtambo wa kisasa hata ghorofani unautumia. 2015 ulikuwa unauzwa laki 5 mama mwenye nyumba wangu alikuwa nao.
Walitumia tanki la maji la lita 1500.
Kama .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom