Msaada wa kuinstall XP tafadhali

Mzee Mwafrika

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
203
99
Niki_boot napata hili tangazo

"Setup did not find any hard disk drives installed in your computer. Make sure any hard disk drives are powered on and properly connected to your computer, and that any disk-related hardware configuration is correct. This may involve running a manufacturer-supplied diagnostic or setup program. Setup cannot continue. To quit Setup, press F3."

Nifanye nini?
 
Mkuu, Computer yako ni ya aina gani? ikiwezekana uweke na model namba yake ili iwe rahisi kukusaidia.

Ni kwamba HDD haionekani kwa sababu 1 inawezekana hiyo HDD ni SATA na hiyo CD ya XP unayo tumia haina driver za SATA ndio maana HDD haionekani.
 
mkuu hiyo solution ya kuchange SATA kwenda IDE ndio mziki maana sijaona hiyo option kwenye BIOS
 
Jaribu hiyo njia nyingine ya ku-download driver za sata kwenye floppy disk. ikikushinda na hii ni julishe.
 
mzee sijui hata mara ya mwisho kuiona floppy disc ilikuwa lini mahala nilipo nadhani zimepotea au ngumu kupata kama una njia nyingine nijulishe
 
mzee sijui hata mara ya mwisho kuiona floppy disc ilikuwa lini mahala nilipo nadhani zimepotea au ngumu kupata kama una njia nyingine nijulishe
Njia nyingine ni kutafuta CD ya XP tolea la karibuni ambalo lina driver za SATA,au kama unaweza kunitafuta nikutengenezee CD ya XP ambayo ina driver za sata za computer yako
 
mkuu nipo mbali sitaweza kukupata ila unaweza kunifundisha jinsi ya kutengeneza hiyo labda!
 
mkuu hiyo solution ya kuchange SATA kwenda IDE ndio mziki maana sijaona hiyo option kwenye BIOS

Restart Computer yako kabla haijawaka bonyeza F10 kuingia BIOS setup ingia storage/storage option (sina hakika sana kama ni storage maana computer zina tofautiana kulingana kampuni iliyo tengeneza). Hapo ndio utaona sehemu ya kubadilisha SATA kwenda IDE...

Mkuu, ikikushinda hapa nitakuwa sina msaada zaidi, kama ikikushinda na kushauri mtafute mtaalamu wa computer akusaidie.
 
Mkuu nahisi computer yako ilikuwa na window vista sasa unataka rudi nyuma yaani kwenye window xp hata mimi iliwahi nisumbua. Kama ni hivyo tafuta window 7 hutakona hadithi hiyo.
 
Usiwe mvivu. kama una internte andika hayo maneno google. the itakuwa vizuri zaidi ukija na kueleza tatizo na kusema a ulijaribu kufanaya solution gani ukashindwa.

Cha pili

ni vizuri ili upate msaada mzuri ujaribu kutoa maelezo kidogo ya swali lako ili watu wasisumbuke na tatizo lingine.
maeleso hayo ni kama
1 Taja brand na Model ya mashine
2. Kwwa nn unatak kuintall XP( Mashine au OS ime crush? umeamua tu kufanya mabadiliko? etc

Kwa kutoa taarifa hizi mtu anaeza kuwa na mwaga wa kutatua tatizo hilo kwa muda mfupi zaidi.

KWa kutaja Brand na model ya mashine yako tutajua ina Hard disk gani . kama ni lates itakuwa Ina SATA HDD tofauti na za zamani.

Kama ni SATA drive ukiweka CD yako ya XP installation cheki screen vizuri kuna muda aitabidi ubonyeze F6 ili drivers za hiyo SATA drive ziwe installed kwanza. Hapa ndipi ilipo tofauti ya Installtion. ya XP kwenye HDD ya IDE kama wengi tulivyozoea tofauti na SATA ambayo ni teknolojia mpya kiasi

XP ikishindwa kutambua drivers za SATA kwenye CD yake itabidi utafute drivers za HIYo SATA HDD kutoka kwenye CD ilikoja na hiyo mashine au kutoka kwenye website ya kampuni ya hiyo PC/laptop
 
Restart Computer yako kabla haijawaka bonyeza F10 kuingia BIOS setup ingia storage/storage option (sina hakika sana kama ni storage maana computer zina tofautiana kulingana kampuni iliyo tengeneza). Hapo ndio utaona sehemu ya kubadilisha SATA kwenda IDE...

Mkuu, ikikushinda hapa nitakuwa sina msaada zaidi, kama ikikushinda na kushauri mtafute mtaalamu wa computer akusaidie.

sidhani kama anaweza kubadilisha kitu kuhusu hadware. Kama ni PC itakuwa ni ama ina SATA ama IDE. hawezi kuwa na option ya zote. Nadhani ajaribu ki hit f6 wakati kaweka CD ya XP inaweza kuwa nazo hizo driver za SATA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom