Msaada wa kuifahamu nchi ya Korea Kusini, nimepanga kwenda huko

PastorA

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
361
275
Habari zenu wananzengo

Mimi ni mkazi wa mji mdogo Lushoto, nimepata mwaliko wa kwenda Korea Kusini ambako nitaishi huko kama miezi 3 hivi, sasa nilipenda kuifahamu vizuri nchi hii kwa upande wa

1. Fulsa kama zipo za kazi za kujiingizia kipato.
2. Hali ya hewa kwa ujumla
3. Mazingira yake kwa ujumla.

Karibuni mnijuze wajuzi.
 
Habari zenu wananzengo; mm ni mkazi wa mji mdogo Lushoto, nimepata mwaliko wa kwenda Korea Kusini ambako nitaishi huko kama miezi 3 hivi, sasa nilipenda kuifahamu vzr nchi hii kwa upande wa;
1. Fulsa kama zipo za kazi za kujiingizia kipato.
2. Hali ya hewa kwa ujumla
3. Mazingira yake kwa ujumla.

Karibuni mnijuze wajuzi.

(1) Korea ni nchi yenye fursa nyingi sana za kukuingizia kipato.
Kazi zinazowalipa sana wageni hasa waafrika ni kazi za viwandani.
Malipo yake ni makubwa ukilinganisha kwa hali halisi ya mtanzania.

Bahati mbaya huruhusiwi kufanya kazi kwa visa yako ya miezi mitatu ambayo ni visa ya utalii.

(2) Hali ya hewa ni ya baridi sana sana.

(3) "Mazingira yake"? Hapo namba 3 ungekuwa specific zaidi ningekuwa ktk nafasi nzuri ya kukujibu.
 
Mazingira yake ya kuishi na makazi, pia nisaidie ni vigezo gani ambavyo mtu anaruhusiwa kazi fulani fulani hata za kuosha vyombo hotelin kuliko kukaa tuu.
 
Karibu mkuu. Moja ya fursa zilizopo huku ni kuigiza katika Season mbalimbali kama vile Jumong na Bridal Mask. Pesa ziko mkuu.
 
Mkuu hapa Korea fursa Nin ww tuu kujichanganya mfano mm nahusika kwenye kuigiza series za kikorea, na inanilipa sana
 
Ni Nchi nzuri Sana ,Changamoto ya kwanza chakula kina tofauti na kwenu Lushoto ,mboga na vingine vingi hata nisivyovielewa,Usafi wa train ya KORAIL ni wa uhakika kutoka Seoul kwenda Busan,Pohang,Daegu au Gwangju,kama utafika Airport ya lncheon utapanda train kwenye Seoul Ndio uanze Safari yoyote kwenye mji mwingine
 
Mkuu nimekuuliza jambo PM tafadhari tembelea
 
Ni Nchi nzuri Sana ,Changamoto ya kwanza chakula kina tofauti na kwenu Lushoto ,mboga na vingine vingi hata nisivyovielewa,Usafi wa train ya KORAIL ni wa uhakika kutoka Seoul kwenda Busan,Pohang,Daegu au Gwangju,kama utafika Airport ya lncheon utapanda train kwenye Seoul Ndio uanze Safari yoyote kwenye mji mwingine

Samahani Kwa uandishi mbaya umri Tatizo,Ila kama ni kweli hiyo fursa ya Korea nzuri Sana
 
@mkuu wa kijiji naomba tafadhari unijulishe zaidi kuhusu kazi zetu zilee za kuingiza angalau kipata kifulsa ndani miezi 4 nitakayo kaa hapo South Korea.
 
Back
Top Bottom