Msaada wa kuhusu uhamisho

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,259
319
Habari wanajukwaa. Mimi ni mwalimu wa sekondari ambaye kwa sasa niko likozo ya masomo. Je kuna utaratibu wa mtu aliyeko masomoni kuweza kuhama kituo cha kazi akiwa bado na likizo ya masomo? Nataka kuhamia wilaya nyingine ila mkoa ule ule.
Ahsanteni.
 
Mkuu iyo process nadhan unaweza kuifany vzur ukiwa tayar umeshamaliza likizo yako ya masomo ila kidog inachukua muda
 
Back
Top Bottom