Msaada wa kuhama kituo cha kazi kabla ya kurepot

X_INTELLIGENCE

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
10,344
14,119
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wanajamvi naomba msaada wenu mimi ni kijana niliyesomeshwa kwa tabu sana, nina shahada ya elimu niliyoipata pale SAUT.

Naomba kwa yeyote anielekeze njia nitakazotumia kuhama kituo cha kazi ambacho nitapangiwa.

Lengo langu ni kuwa karibu na wazazi wangu ambao hawajiwezi kiafya kwa sasa...vile vile nataka niishi karibu na chuo ili niweze kujiendeleza na elimu.

Please naomba mnisaidie kwani najua tuu nitapangiwa kituo ambacho sitapenda kwenda.
 
Back
Top Bottom