Msaada wa kufanya backup meseji za whatsapp

medisonmuta

JF-Expert Member
Oct 10, 2014
1,497
2,000
Kuna kijana alichezea simu na kufuta whatsapp. Sasa nilijaribu kuiweka upya baadhi ya meseji zikarudi na nyingine kugoma. Kuna uwezekano wa kurudisha meseji zote maana nimejaribu mara ya pili zile zilizokuwepo zimeondoka na nilijaribu kutoa kwenye Google drive nilizoziweka bado inasoma. Msaada wa njia gani naweza tuma kufanya backup za meseji...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom