msaada wa kuendelea na elimu kwa matokeo haya kidato cha sita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wa kuendelea na elimu kwa matokeo haya kidato cha sita

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by maege, May 1, 2012.

 1. maege

  maege JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  kuna mtu kaniomba nimshauri anataka kuendelea na elimu je chuo gani anaweza kusoma ana Geog E, chem S, bios F, Bam F yaan daraja la nne pointi 18.
   
 2. Pendael laizer

  Pendael laizer JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 961
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Diploma ya uwalimu.
   
 3. maege

  maege JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Thx hivi anaingia kwenye chuo chochote cha diploma?
   
Loading...