Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,625
- 1,619
Habari wana Jukwaa.
Kuna uzi nilianzisha kule Jukwaa la kazi na ajira.
Na ulikuwa hauna reply za matusi wala kejeri, sasa nashangaa mida hii nimeufungua, naambiwa haupo au umefutwa na administrator au sina permission ya kuusoma.
Swali, ni kwanini imekuwa hivyo, na inakuwaje naambiwa sina ruhusa ya kuuona wakati nimeanzisha mwenyewe na nilikuwa nausoma kama kawaida.
Na kama umefutwa, kwa nini umefutwa.
Ahsante