msaada wa kuchakachua pls

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
mfano ofisini wameamua kudisconnect my account kwenye outlook...how do i bring it back?

Kwa sasa nikifungua outlook inajaribu kuconnect but inafail wamedisconnect coz kuna nyingine tutaanza kutumia lakini haijulikani lini nami nahitaji kuingia kwenye outlook nikachukue baadhi ya details zangu flan flan ambazo zimetumwa huko

so if anyone has got an idea jinsi gan nitaweza kuiconnect hata kama ni kwa dk 5 tu

thanks in advance ppl!
 
you can do that only if you know your company's server details sababu unapocinfigure outlook kuna sehem unatakiwa kuingiza server settings ambazo ni incoming and outgoing mail server pia na port number ya hiyo server kwenye domain mnayotumia...alafu kama wamesema wanataka kubadilisha maanayake hizo settings pia zitakuwa zime change so hata ukipata hizo za zamani zinaweza zisifanye kazi(pengine ndio hizo bado zilizopo kwenye outlook yako saiz lakini ndo hazifany kazi) so inakubidi uwe mpole tu usubiri..
 
Njia rahisi ya kuchakachua ni kuongea na it technician yeyote wa kampuni yako ukamkatie kitu kidogo akufanyie configuration temporary uchukue material yako.
 
Haiwezekani, kama server zimezimwa au account yako imefungwa. Kama wewe ni mfanyakazi wa hapo waambie unahitaji data zako watakupa sioni tatizo.
 
outlook bado inafanya kazi na kuna wananchi nimewaona wanatumia japo ukimuuliza mtu anajifanya yangu ilisahauliwa kuwa disconnected (but hakuna wote tulipigwa panga),mlolongo wa kumpata huyo IT...Doooh! Ila thanks my pipo itabidi niwe mpole
 
outlook bado inafanya kazi na kuna wananchi nimewaona wanatumia japo ukimuuliza mtu anajifanya yangu ilisahauliwa kuwa disconnected (but hakuna wote tulipigwa panga),mlolongo wa kumpata huyo IT...Doooh! Ila thanks my pipo itabidi niwe mpole

Hiyo ofisi kiboko yaani mnadanganyana wenyewe kwa wenyewe!?
 
isije kuwa wame ku disconnect wewe tu...yaani wamefuta account yako kwenye server!!? manake kama ni hivi hata ukipewa hizo settings mpya mzee hamna kitu...uliza vizuri! au una soo nini mkuu?? weka wazi...
 
hamna ndugu yangu sijafanya soo dont get worries on that ...
 
Back
Top Bottom