MSAADA WA KUCHAGUA CHUO KWA DEGREE

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Wana jamvi naomba msaada wenu kujua ni kozi gani na chuo gani kinaweza kumfaa mdogo wangu ambaye amemaliza form six mwaka huu na kupata alama zifuatazo.
1:Chemistry..........C
2:Biology..................D
3:Geography......D
4:Bam...........................D

Ana div 11.
Naomba kujua je ni kozi gani anaweza kuomba na ni kupitia chuo kipi?
Tafadhali jamani kuuliza siyo ujinga naomba mnisaidie mwenzenu.
 
Huyu je, anaweza akapata Agribusiness SUA au BBA SAUT?

Economics.....D
Geography......D
Advanced Mathematics.....F
 
Huyu je, anaweza akapata Agribusiness SUA ??

Economics.....D
Geography......D
Advanced Mathematics.....F
 
Tatizo vijana wengi siku hizi wamelishwa sumu kuwa education ni fani isiyo na hadhi wakati ndiyo ina uhakika wa ajira
Mbona huyu kama wewe (jokes)

Aombe tu mkuu asiogope lakini asiache kuijaza education kama ana ndoto za degree.
 
Tatizo vijana wengi siku hizi wamelishwa sumu kuwa education ni fani isiyo na hadhi wakati ndiyo ina uhakika wa ajira
ndo shida ya vijana wetu, mtu yuko tayari akasome madude yasiyoeleweka ambayo hata kujiajiri ni kasheshe.. Eti ili mradi tu aondokane na maneno ya mtaani ya kumkashshfu mwalimu, wakati sasa hivi mambo ni kinyume.
 
Environmental Health Sciences RUCU maana ya MUHAS ina ushindani mkubwa itampiga nje
Wana jamvi naomba msaada wenu kujua ni kozi gani na chuo gani kinaweza kumfaa mdogo wangu ambaye amemaliza form six mwaka huu na kupata alama zifuatazo.
1:Chemistry..........C
2:Biology..................D
3:Geography......D
4:Bam...........................D

Ana div 11.
Naomba kujua je ni kozi gani anaweza kuomba na ni kupitia chuo kipi?
Tafadhali jamani kuuliza siyo ujinga naomba mnisaidie mwenzenu.
 
Huyu je, anaweza akapata Agribusiness SUA au BBA SAUT?

Economics.....D
Geography......D
Advanced Mathematics.....F

Amesoma kwa target sana ,Kuliko kung’ang’ania masomo yote halafu ushindwe, Ni bora kuwa na yako mawili tu ya kukutoa.
Asihofu Chuo anapata vizuri tu ila aongeze umakini katika kuchagua course kulingana na vigezo vilivyopo na ushindani katika Course husika.
 
Sahihi kabisa mkuu na mwisho wa siku ni kuhangaisha familia
ndo shida ya vijana wetu, mtu yuko tayari akasome madude yasiyoeleweka ambayo hata kujiajiri ni kasheshe.. Eti ili mradi tu aondokane na maneno ya mtaani ya kumkashshfu mwalimu, wakati sasa hivi mambo ni kinyume.
 
familia yenu ni waoga wa maisha mnasoma kozi za kizamani kwa kuangalia upatikanaji wa ajira lakini kumbuka maisha siku hizi yamebadilika kabisa ualimu na udaktari sio deal tena kama zamani goodluck ku target ajira.
 
Back
Top Bottom