MSAADA WA KUBADILISHA PESA YA DOMINICA

Cendy

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
1,248
2,306
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naomba anaejua sehemu wanayobadilishia pesa ya republic of Dominica anisaidie maana nimejaribu kutembea kwenye maduka ya kubadilishia pesa (bureau de change) ya kariakoo Hadi airport nimeshindwa kabisa

Msaada naomba
 
Jaribu kwenda bank,
 
wakuu na mimi nina yakwangu moja ina itwa sheqel ya ISRAEL ni sheqel 100, sijajua kama ina weza badilishwa hapa bongo msaada please...! View attachment 1942135
20210917_181533.jpg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom