Msaada wa kubadilisha matokeo haya kwenda kwenye division

Joseph Cliff

Member
May 31, 2016
28
6
Naomba Msaada wa kujua Div ya haya matokeo.. hawa wanafunzi walisoma nje wakamaliza F6 nje ya nchi.. na haya ndio matokeo yao katika masomo matatu (principal subjects ) baada ya kubadilishiwa na baraza la mithiani hapa Tanzania

1) D,C, na S
2) B,C na D

Wamepata Division gani kwa hapa Tanzania?
 
Nami naongezea,hivi kubadilisha kunachukua muda gani?,au unaenda siku hiyo unabadilishiwa?
 
Naomba Msaada wa kujua Div ya haya matokeo.. hawa wanafunzi walisoma nje wakamaliza F6 nje ya nchi.. na haya ndio matokeo yao katika masomo matatu (principal subjects ) baada ya kubadilishiwa na baraza la mithiani hapa Tanzania

1) D,C, na S
2) B,C na D

Wamepata Division gani kwa hapa Tanzania?
Mmoja ana div 2 ya point12 na mmoja ana div3 ya point15
 
Naomba Msaada wa kujua Div ya haya matokeo.. hawa wanafunzi walisoma nje wakamaliza F6 nje ya nchi.. na haya ndio matokeo yao katika masomo matatu (principal subjects ) baada ya kubadilishiwa na baraza la mithiani hapa Tanzania

1) D,C, na S
2) B,C na D

Wamepata Division gani kwa hapa Tanzania?
kwa matokeo ya huu mwaka inakuwa
1)D,C, NA S
NI division three ya15

2)B,C NA D
NI two ya 12
 
A=1
B=2
C=3
D=4
E=5
S=6
F=7
Div1=3-7
Div2=8-12
Div3=13-17
Kwa matokeo yako hapo juu inakuwa hivi
1(DCS)=Div three 13
2(BCD)=Div two 9
 
Back
Top Bottom