Alex korosso
Senior Member
- Jun 10, 2017
- 126
- 214
Habarini wakuu wa Kazi Habari za Majukukumu. Niko katika kipindi cha kukamiliza ndoto zangu ni mda mrefu sasa nilikua na ndoto ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mafuta ya kupikia yapatikanayo katika zao la pamba.
Sasa huu ni wakati wa kuanza kufata ndoto zangu za umiliki wa kiwanda Ombi langu kwenu ni kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu uendeshaji na uzalishaji wa kiwanda kidogo.
MAMBO MUHIMU NAYOITAJI KUYAJUA TOKA KWENU.
1.Gharama za uanzishaji wa kiwanda na mahali napoweza kupata leseni na vibali vyote vya serikali.
2.Aina za mitambo ya ukamuaji pamba na za uendeshaji (MANUAL MASHINE)
3.Mtaji wa chini kwa makadilio ya uzalishaji lita 500 kwa siku na bajeti ya uendeshaji usiopungua wafanyakazi 10
Naomba kuwasilisha kwenu wakuu.
NB. Nakalibisha maoni,ushauli na mawazo pia kwa mwenye uelewa zaidi.