Msaada wa kuanzisha Kiwanda cha Mafuta ya Pamba

Alex korosso

Senior Member
Jun 10, 2017
126
214
Habarini wakuu wa Kazi Habari za Majukukumu. Niko katika kipindi cha kukamiliza ndoto zangu ni mda mrefu sasa nilikua na ndoto ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mafuta ya kupikia yapatikanayo katika zao la pamba.

Sasa huu ni wakati wa kuanza kufata ndoto zangu za umiliki wa kiwanda Ombi langu kwenu ni kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu uendeshaji na uzalishaji wa kiwanda kidogo.

MAMBO MUHIMU NAYOITAJI KUYAJUA TOKA KWENU.
1.Gharama za uanzishaji wa kiwanda na mahali napoweza kupata leseni na vibali vyote vya serikali.

2.Aina za mitambo ya ukamuaji pamba na za uendeshaji (MANUAL MASHINE)

3.Mtaji wa chini kwa makadilio ya uzalishaji lita 500 kwa siku na bajeti ya uendeshaji usiopungua wafanyakazi 10

Naomba kuwasilisha kwenu wakuu.

NB. Nakalibisha maoni,ushauli na mawazo pia kwa mwenye uelewa zaidi.
 
Kinachofanya biashara nyingi za wabongo ku-fail ni hiki: Unakuta mtu anakuambia nataka kufanya ''abcdefg'' lakini hata ''abc'' hajui.

Mkuu nko kwenye hatua za mwanzo za kutimiza ndoto ndo maana nimeleta wazo langu kwa yoyote mwenyewe uelewa zaidi anaweza nisaidia
 
Habarini wakuu wa Kazi Habari za Majukukumu. Niko katika kipindi cha kukamiliza ndoto zangu ni mda mrefu sasa nilikua na ndoto ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mafuta ya kupikia yapatikanayo katika zao la pamba.

Sasa huu ni wakati wa kuanza kufata ndoto zangu za umiliki wa kiwanda Ombi langu kwenu ni kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu uendeshaji na uzalishaji wa kiwanda kidogo.

MAMBO MUHIMU NAYOITAJI KUYAJUA TOKA KWENU.
1.Gharama za uanzishaji wa kiwanda na mahali napoweza kupata leseni na vibali vyote vya serikali.
2.Aina za mitambo ya ukamuaji pamba na za uendeshaji (MANUAL MASHINE)
3.Mtaji wa chini kwa makadilio ya uzalishaji lita 500 kwa siku na bajeti ya uendeshaji usiopungua wafanyakazi 10
Naomba kuwasilisha kwenu wakuu.

NB. Nakalibisha maoni,ushauli na mawazo pia kwa mwenye uelewa zaidi.
mkuu Hongera Sana kwa hatua unayotajia Kufanya.

Hasa kwenye suala LA kupata machine ya kukamulia pamba Nenda ukawaone SIDO

Hawa Watakusaidi sana wana machine mbali mbali Hapo huwezi kosa

Ila pia kujifunza sana search google utaona jinsi namna viwandA vidogo vya pamba vinavyofanya kazi
 
Ndio mkuu niko kanda ya ziwa na huku inapatikana sana kwa msimu
Taratibu zake za manunuzi unazijua !!? Kwa mfano msimu unafunguliwa mwezi wa sita ... Umetuma maombi kununua pamba ghafi!??? Mimi ni Afisa Ushirika najua hauingiiii tu sokoni kama mpunga . Una leseni ya manunuzi ya pamba!?
 
mkuu Hongera Sana kwa hatua unayotajia Kufanya.

Hasa kwenye suala LA kupata machine ya kukamulia pamba Nenda ukawaone SIDO

hawa Watakusaidi sana wana machine mbali mbali Hapo huwezi kosa

Ila pia kujifunza sana search google utaona jinsi namna viwandA vidogo vya pamba vinavyofanya kazi

Shukulani sana mkuu kwa kunipa mwangaza
 
Taratibu zake za manunuzi unazijua !!? Kwa mfano msimu unafunguliwa mwezi wa sita ... Umetuma maombi kununua pamba ghafi!??? Mimi ni Afisa Ushirika najua hauingiiii tu sokoni kama mpunga . Una leseni ya manunuzi ya pamba!??

Ki ukweli mkuu Nilikua najua naingia sokoni kama kununua maindi au mpunga.
Nipo mwongozo mkuu inakuaje au hatua zipi zinatakiwa mpaka kumiliki leseni ya ununuzi.
 
Mkuu sio kama nakukatisha tamaa ila nia yangu nataka kukuambia unatakiwa ufanye reseach sana ili uwe na information zote kabla ya kuulizia mashine. Kwa mfano hilo jamaa mmoja aliyekuambia kuhusu ununuzi wa mbegu nk. Halafu ukumbuke hata kama una machine lakini kuna mambo mengine sana yanaendana na uzalishaji wa mafuta ya kula. Kuna ujuzi kama jinsi ya kuya-process na ku-pack, vibali vinavyohitajika nk. Kwa kifupi utafiti unahitaji juhudi zako kwa asilimia 80 na hapa unakuja kuulizia nyongeza tu. Ikibidi mtembelee mtu mwenye kiwanda kama hicho ili uone anavyo-operate. Hapa utapata asilimia 20 tu ya information inayohitajika. Angalia usije ukanunua machine na baada ya kuinunua ukakuta kuna vitu vingine vingi na vya gharama amabvyo ulikuwa huvijui. Kwa upande mwingine waliposema ''serikali yenye dhamira ya kujenga viwanda'' ingekuwa vizuri sana kama watakuwa na vitengo vya wataalam wenye ujuzi (kama mpaka sasa hamna) wa kutoa ushauri kwa mambo kama haya.
 
Shukulani sana mkuu
 
Ameshasema anaanza lini? Huenda ndio kwanza yupo kwenye kukusanya taarifa za awali ili ajue endapo ndoto zake zinawezekana ili atupe shuka aanze utekelezaji au aendelee kulala aote zaidi?

Badala ya kumkatisha tamaa, ikiwa mtu ana uelewa wa jambo na anania na muda wa kuweka habari au taarifa zozote zinazowezakuwa na msaada kwa ndugu yetu aweke hapa kumpa mwanga.

Safari yeyote ile huanza kwa hatua.
 
Kweli mkuu ubalikiwe sana kwa mtazamo wako
 
Back
Top Bottom