MSAADA WA KUANZISHA KAMPUNI YA ULINZI

KISUNZU YP

Senior Member
Jul 30, 2016
114
37
Wanau naomba maelezo ya kina ya kila kinachotakiwa ili kuanzisha kampuni ya ulinzi,nini kinatakiwa,mtaji ni kiasi gani na taratibu nyingine ikiwa ni pamoja na maeneo mazuri ya mufungua ofsi
 
Hii ninacomment ili ipande juu, swala la security ni muhimu sana hasa Tanzania ambapo unaweza toka nyumbani kurudi mtu kabomoa kioo cha dirisha kavuta vitu vyote vya thamani.

Ukifanikiwa kuanzisha kama ukihitaji technology ya kisasa ile mtu akivamiwa inapiga kelele picha inapigwa ya mwizi na information inatumwa automatic kwa security guards ndani ya sekunde moja we nitaarifu.
 
Back
Top Bottom