Msaada wa kuangalia mchanganuo wa loan toka( heslb )

Raphael9

Senior Member
Apr 24, 2012
145
44
Msaada nataka niangalie mchanganuo umeendaje lakin pale pakuandka surename,index no na password pamenichanganya? help me
 
wewe weka jina lako moja either lako au la babako, uwe na moyo wa kujalibu sio kila kitu mpaka kuuliza.
 
Andika jina moja tu,either la kwako la mwanzo tu,au la mwisho,,then type zile code,search,yanakuja majina.
 
Back
Top Bottom