Msaada wa kuandikiwa barua ya kubadilisha jina la kampuni

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
513
Habari za leo?
Wakuu naomba msaada wa kuandikiwa au kama una sample ya barua ya bodi ya kampuni kwa ajili ya kubadilisha jina la kampuni ya kisheria ie mfano kampuni ilikuwa inaitwa AA Ltd kuwa BB ltd kwenda kwa Msajili wa makampuni Brela.

Nitashukuru hata kama waungwana mtanitumia Pm kwani naamini jukwaa hili limejaa wabobezi na nguli wengi wa sheria
Natanguliza shukrani zangunza dhati
Regards
 
Andaa Board resolution, andika kichwa cha habari kinachoonesha Nina yenu, then kwa chini orodhesha majina ya directors kila mtu na sahihi yake, then usisahau witnessed by. Kwa maana ya mwanasheria.
 
Shukrani Mkuu
Kwani barua ya awali iligonga mwamba nikaonyeshwa mwanasheriq mmoja pale pale Brela lakini hata nae alichoandika ni kituko tu
Nikaona nije jukwaa la manguli wa sheria tuone tutalitatua vipi hili. Ntaleta mrejesho
 
Hawa wanaaheria Wa siku hzi hamna Kitu kabisa........kuna mmoja nilimpelekea akaniandalie mkataba ila mwisho Wa siku ilikua kama ni Mimi nilioutengeneza yeye aliishia kutia tu saini na mhuri wake.....sijui twaenda wapi
 
Hahahaaa hata kigooogle hawezi.
 
Mimi google imenisaidia sana kuandaa mikataba, field reports, project reports,
 
Nilifanikiwa wakuu
1. Kwa mliosema ni google. Hili nililifanya hata kabla ya kuja hapa lakini ilikataliwa barua.
2. Kwa mchangiaji wa kwanza kabisa still ilikataliwa vilevile. Ilibidi modification kubwa ifanyike
3. Muhim ni kwamba kulikuwanna vifungu vya kunakiri na vilevile haina haja ya mwanasheria kusaini. Special Board resolution letter Inakuwa printed ktk legal paper na kuna kunakiri vifungu muhim vyote vinavyohusiana na maombi. Barua haizidi mistari 6
 
Hawa wanaaheria Wa siku hzi hamna Kitu kabisa........kuna mmoja nilimpelekea akaniandalie mkataba ila mwisho Wa siku ilikua kama ni Mimi nilioutengeneza yeye aliishia kutia tu saini na mhuri wake.....sijui twaenda wapi
Acha dharau ww r u sure ulimpelekea mwanasheria?? Hlafu nikushaur kitu alteration of company name linautaratibu wake so u have to seek the service of solicitor waliokalibu na ww
 
Why do you have to question me about the surity of consulting the real lawyer.......na wewe kama ni mwanasheria kazi IPO!!!!!!!!! Huu mwandiko wako kwanza unatia walakini. Am sorry in advance
 
Kwa sababu ya kaul yko ya ajabu et hawa wanasheria siku hz hakun kitu,,,ww km umeomb msaad kuwa mpole usaidiwe lakn hzo co kaul ,wanasheria wanaheshim ykeee huend ulitak bei cheeee ndo maan alikuzingua sababu unachouliz company Act iko waz kabisaa sidhan km alishindw kukusaidia sema bei zetu hz za kulia kulia , hahaahahaaahahahah poyeeee
 
Ila Mimi mwandiko wako tu.........
 
Back
Top Bottom