Msaada wa kuandika research proposal.

Mkuu hebu kuwa serious kwa hiyo unataka wadau humu wakuandikie proposal !!!
Kama uko chuo,ulizia kwa seniors wako, ikiwezekana upate copy za proposals zao zilizokwisha tumika ili utumie hizo ku-develop yours.
 
Mkuu hebu kuwa serious kwa hiyo unataka wadau humu wakuandikie proposal !!!
Kama uko chuo,ulizia kwa seniors wako, ikiwezekana upate copy za proposals zao zilizokwisha tumika ili utumie hizo ku-develop yours.
Jibu lakisomi, hongera!
 
Title ina sema "investigation on the factors affecting the academic performance in geography subject in secondary schools.

1. Jamani vijana maisha sio kitonga hivyo, hiyo proposal ni sehemu ya kukupima wewe sio sisi mwisho wa siku tunataka wasomi wenye weledi na uwezo wa kujenga hoja, kwa kuibua matatizo katika jamii inayowazunguka,
Sasa kweli ukiandikiwa hiyo simple proposal utaweza kuja kuandika reports ofisini kwelii??

2. Kwa ushauri wangu tu mdogo, komaa nayo tu naamini ukiifanya wewe mwenyewe unakuwa kwenye nafasi nzuri ya kutanua ufahamu wako.
 
Ngoja nikupe heads up mbili tatu.

Lazima ujue kua hiyo research proposal ndiyo utaifanyia research hivyo usiifanye kua pana sana naamini hiyo title supervisor wako hajaipitisha au kama kaipitisha anataka kukukomoa.

Ukisema secondary schools, Tanzania kuna secondary schools ngapi? Utazunguka ngapi? Utajikuta una kitu kikubwa mno ambacho utashindwa kukihimili. Hivyo angalau ungeandika hiyo title na kumaliza na 'Case Study of Chamwino District' 'Case Study of .....'

Pia endelea kupunguza upana wa title kwa kuonyesha kua ama utadeal na shule za serikali au za binafsi. Ukiacha hiyo title kama ilivyo maan yake utatakiwa kuonyesha shule zote za Tanzania. Halafu siku ya kufanya research utazunguka Tanzania nzima katika shule zote.

Kwahiyo ningekua wewe pengine title yangu ingekua hivi 'Factors Affecting Performance in Geography Subject in Government's Secondary Schools: Case Study of Magomeni Mikumi'

Au eneo lolote unalohisi utacover kwa urahisi. Pia vyuo hutoa guide ya jinsi wanavyotaka Research Proposal zao ziweje, nenda uliza kwa Supervisor wako au mkuu wako wa idara. Ningetafuta yangu na kukupigia picha uisome ila itakua ni kujiexpose.

La mwisho: Hakuna raha kama kuifanya research yako mwenyewe unakua comfortable na confidence ipo juu. Pia usiwe mvivu kudeal na supervisor wako, usinune chochote atakachosema fanya.

La mwisho tena; WanaJF acheni majibu shitty, mtu kama hadi kaandika uzi ni ama umpe msaada au upige kimya.
 
Nazani utakua unasoma education,, na kabla ya kufanya research basi kuna kozi lazma umesoma ya research methodology,, ukiizingatia vizuri utaweza ifanya research yako kwa uzuri
 
Mkuu hebu kuwa serious kwa hiyo unataka wadau humu wakuandikie proposal !!!
Kama uko chuo,ulizia kwa seniors wako, ikiwezekana upate copy za proposals zao zilizokwisha tumika ili utumie hizo ku-develop yours.
Mkuu hajasema kuandikiwa soma vizuri title ya mada yake utaelewa. Bila shaka anahitaji abcd za namna ya kuandaa proposal yake.
 
Title ina sema "investigation on the factors affecting the academic performance in geography subject in secondary schools.
Halafu kingine uandaaji wa research huwa zinatofautiana kulingana na program husika, mfano watu wa elimu, engineering, single subjects guideline huwa ni tofauti na hata vyuo huwa vinasystem tofauti so ni vizuri uwasiliane na supervisor wako ingawa kuna section huwa ni common mfano
1) Title of Research should be short, clear and well understandable
2)INTRODUCTION/BACKGROUND of your research
3)LITERETURE REVIEW
4)GENERAL OBJECTIVES of research
5) RESEARCH PROBLEM
6/HYPOTHESIS OF RESEARCH
7/SIGNIFICANT OF RESEARCH
8/ RESEARCH METHODOLOGY
9/BUDGET OF RESEARCH
10/ TIME FRAME OF RESEARCH
 
Mkuu hajasema kuandikiwa soma vizuri title ya mada yake utaelewa. Bila shaka anahitaji abcd za namna ya kuandaa proposal yake.
sawa mkuu, basi mimi ngoja niongezee kwa title yake.
Mleta mada, title yako uko too general, jaribu kuifanya specific a research area, mfano kama utafanyia research wilaya ya Nanjilinji, your title should be: " Investigation of the factors affecting academic performance in Geography subject in secondary schools at Nanjilinji district"

Cha pili lazima ujue kama kuna mtu aliishawahi kufanya same study katika hilo eneo, ili kama yupo, basi upate report ya research yake, na utaitumia hiyo ili kuanza research mpya, pia hiyo itakusaidia pata sample size.
 
Back
Top Bottom