Msaada wa Ku-update android ya simu

ime rootiwa???
maana kama haijafanyiwa modification yenyewe inaomba,kupitia software update.
 
ime rootiwa???
maana kama haijafanyiwa modification yenyewe inaomba,kupitia software update.
Haija rootiwa. Kuna maelezo nilipata yanasema s7 edge ya 2016, Samsung walishazitoa kwenye update za android. Kwaio hazipati masahihisho ya android.

Kama kuna namna ya kufanya ili nipate kui-update naomba maelezo.

Shukrani.
 
KUNA NJIA TATU HAPA, ikifeli moja tumia nyingine;


1.Jaribu kwenda kwenye software update then check for updates (OTA-Over The Air) update

2. Tumia smartswitch ku update kwakutumia pc

3.Tafuta updated firmware yenye build number inayoendana na hiyo simu then ipige humo.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom