Msaada wa ku-unlock iPhone

uzewela

Senior Member
Jul 29, 2020
119
261
Naomba msaada kwa mtu yoyote mwenye kujua namna ya ku unlock iPhone 8 ni ya marehemu brother angu.

Hakuna anaejua password zaidi yake.

RIP
 
RIP bro wetu

ila kama sio kweli, uko hatarini kudakwa kwa kosa la unyang'anyi kwa kutumia silaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom