Msaada wa ku unlock account ya facebook.

kabilili

Member
May 30, 2012
50
4
Kuna mtu ka block a/c yangu ya fb. Nikajaribu ku log in inaniletea ujumbe ambao ninatakiwa kuzifahamu picha ambazo zilitagiwa kwenye wall yangu. Na mim hizo picha sizifahamu. Naomba msaada kama kuna mtu mwenye uzoefu na ujuzi wa tatizo hilo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom