WA MAMNDENII
JF-Expert Member
- Jun 5, 2010
- 344
- 57
wakuu nimekopi program ya Nero toka computer moja kwa kutumia flash na kuitumbukiza kwenye local disk ya pc yangu , sasa namna ya kui-run ili nipate kuitumia ndo kimbembe, natumia window vista ,tafaadhali wabobezi wa IT nipeni tafu