Msaada wa ku-run command prompt na mysql kwa macbook ya 2011

Hello wataalamu wa IT,

Nashindwa ku-run utilities/command prompt baada ya ku-install xampp kwa macbook pro 2011, msaada tafadhali.

MK254 CHIEF MKWAWA Stefano Mtangoo et all.
Hata snapshot haujaweka?

Tutajuaje?

Ukisha install xampp start services upande wa mysql na Apache Kama unataka kuona via browser.

Hizo query zako unaweza fanya via command prompt njia nzuri na ya haraka kuacess tumia button inayokuwa kweny control panel kwa ajili ya command then login via command then create you database then query your db,

Good day Mac users
 
This is the screen shot, kuandika hizo command kwa terminal ndio inakataa
IMG-20220122-WA0012(1).jpg
 
Back
Top Bottom