Msaada wa ku Reboot hii flash

Download hii software chipgenius ChipGenius v4.19.0319. Kisha ingia hapa usbdev.ru ujifunze namna ya kureformat hiyo flash yako. Chipgenius inakupa vendor name ya flash yako na taarifa nyingine ambazo zitakusaidia kupata flash tool sahihi. Baadhi ya vendor names ni Alcol, Phison, Chipsbank n.k.

Kila la kheri.
nimeingia ila hiyo lugha ndo balaa nimetoka kapa. nilivyoi run ikafunguka ikaniletea ile flash na maelezo ila sasa lugha afu kwa chin kuna vitu viwili vina sijui lugha gani nikivigusa vinataka niwe connect kwenye internet..
nimeshindwa kuelewa
 
Tumia google chrome ili uweze kutumia google translate. Inatranslate vizuri kwenda kwenye kiingereza.
 
Back
Top Bottom