Msaada wa ku download movie zilizo tafsiriwa kwa kiswahii

tiku

JF-Expert Member
Oct 31, 2015
441
257
Wana jf habari wakuu, naomba msaada wa mtu anaejua jinsi ya kupakua movie ilizotafsiriwa kwa kiswahili, asante
 
nilikua napenda ilizo badilishwa lugha na Mkandara L

hawa wengine unaweza kujikuta unasinzia tu na usifrahie muvi.

kuanzia hapo siangalii zilizo badilishwa lugha mpaka leo
 
nilikua napenda ilizo badilishwa lugha na Mkandara L

hawa wengine unaweza kujikuta unasinzia tu na usifrahie muvi.

kuanzia hapo siangalii zilizo badilishwa lugha mpaka leo
Wapo ma dj wana tafsiri vizuri sana. Binafsi namkubali Dj Afro...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom