Msaada wa KOZI kwa haya matokeo

Akilitime

JF-Expert Member
Dec 27, 2017
581
757
Wasalaam!
Ufaulu:
Chemistry = S
Agriculture= D
Biology.= D
Div iii- 14

Kwa matokeo hayo hapo juu kozi gani inamfaa kusoma? Na kwanini iyo kozi? Na chuo gani anaweza chaguliwa Kwa iyo kozi?

Ahsante
 
Sasa wewe mpaka unasoma CBA ulikua hujui unataka kusomea nini chuoni?

Nashauri asome kozi yeyote ukiacha ualimu.
 
Sasa wewe mpaka unasoma CBA ulikua hujui unataka kusomea nini chuoni?
Hujui hata nini nimeuliza ndo maana unajibu kisichotakiwa kwenye uzi huu.
Wewe ni wa kupuuzwa!

Nashauri asome kozi yeyote ukiacha ualimu.
 
Back
Top Bottom