Msaada wa kopo la mahindi tu manyanyaso Je ingekuwa mchele, ngano au sukari si mngetuua kabisa??

Waterloo

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
25,356
38,909
Nimesikitishwa sana na kauli za kiongozi wetu.

Hivi huu msaada wa kopo la kilo moja ya mahindi analopewa mtu mwenye njaa ( mtanzania) ndio anaambiwa afe kwa sababu kashindwa kulima.

Najiuliza nchi hii tungekuwa tunapewa msaada wa bidhaa ghali kidogo kama mchele, sukari au ngano Hawa watawala so wangetuua kabisa?
 
Na si.kwamba hajalima Bali mvua hazikunyesha.
 
Nimesikitishwa sana na kauli za kiongozi wetu.

Hivi huu msaada wa kopo la kilo moja ya mahindi analopewa mtu mwenye njaa ( mtanzania) ndio anaambiwa afe kwa sababu kashindwa kulima.

Najiuliza nchi hii tungekuwa tunapewa msaada wa bidhaa ghali kidogo kama mchele, sukari au ngano Hawa watawala so wangetuua kabisa?
Peleka siasa nje
 
Tufanye kazi, tatizo letu tumegeuza sehemu ya kufanyia kazi ni kwenye mitandao ya kijamii kupiga umbea!! Haisadii, tuombe tu tuepushiwe baa la njaa, vinginevyo, pamoja na msaada wa serikali watu tutakufa! Tukubali ukweli!!!
 
Tunafanya kazi lakini mambo mengine yapo nje ya uwezo watu .je tufe njaa
 
Nimesikitishwa sana na kauli za kiongozi wetu.

Hivi huu msaada wa kopo la kilo moja ya mahindi analopewa mtu mwenye njaa ( mtanzania) ndio anaambiwa afe kwa sababu kashindwa kulima.

Najiuliza nchi hii tungekuwa tunapewa msaada wa bidhaa ghali kidogo kama mchele, sukari au ngano Hawa watawala so wangetuua kabisa?

Ni kopo ngapi zitazokuvusha na njaa? kopo 60 hazitoweza kukuvusha. Serikali sema ingeanzisha utaratibu wa kuwapa walemavu na wakongwe tu.

Lakini dude linalia njaa na lina MB ya kuisakama serikali , dude halina njaa limepata wapi ya ku topup?
 
Hakuna mwenye MB analia njaa jomba.ukisikia kuna njaa ni huko nanjilinji na kolomije sisi wengine ni mabalozi tu wakufikisha Ujumbe.
 
Wanaolalamika njaa ni wale ambao chakula chao kinatoka shambani na sio sokoni. Ni wale hoehae wakulima wa vijijini sio wewe wa Ubungo au Nyamagana au Kinondoni. Mbona mnajichetua akili? Watu walilima lakini hali ya mvua sehemu kubwa ya nchi haikuwa nzuri na kupelekea mavuno hafifu. Wanapowasikia mnawasimanga eti ni ombaomba, wavivu hakika manung'uniko yao yatawasababishia laana.
 
Watawala wanongea bila kufikiria.Miaka yote hiyo watu walukuwa wana ishi na chakula cha kusengenywa cha serikali!!! Eti mfe njaa.miaka yote wewe ndio ulikuwa unawafanyia kazi.Viongozi vikirie kabla hamjataka.Mnatia aibu.
 
Back
Top Bottom