Msaada wa kiufundi.

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,845
2,245
Habari wakuu.
Naomba msaada wa ushauri kwa gari yangu ndogo toyota runx.
Ilifunguliwa engine na kubadilishwa silinda gasket.
Baadae ikawasha taa ya check engine.
Nikapeleka kupima na mashine ikaandika hivi.
"Camshaft position sensor"
Msaada wakuu naomba kujua pa kuanzia.
 
Vipi Bro Santana
Fault Code uliyoipata halo, "Cam shaft Position Sensor" yahusiana na timing ya gari. ECU inasoma utofauti kati ya signal toka kw Cam-shaft sensor na Crank-shaft sensor at TDC cylinder No. 1.
Hii ni kwamba valve timing ya hiyo engine haiko on point. This will affect your idling au/na kutomaliza acceleration hasaa kw gari ya VVTi, kusababisha poor performance, poor economy na kuharakisha kuchoka kw engine. Sababu nyingine inayoweza leta hiyo Fault Code, ni tatizo kwenye mfumo we VVTi. Yaweza kua Actuator mbovu.
Jaribu uangaliliwe hiyo timing then proceed from there.
Hope I was of assistance.
 
Nashukuru sana mkuu.
 
Back
Top Bottom